Posts

Tafuta muda kwaajili ya nafsi yako,

 Ongea na nafsi yako kwa ukubwa jipe muda binafsi, Hakuna atakaye kuambia kweli zaidi ya nafsi yako mwenyewe, Skiliza nafsi yako inasemaje, chukua uamuzi vile nafsi yako inasema na wewe

Hekima za mchungaji mbaga

Image
 

Vitenge vya nje ya nchi ni majanga tanzania!

 

Kente vitenge

Image
 

kitenge vazi la heshima

kwa miaka yakaribuni vazi la kitenge limekua ni vazi la heshima limekua n vazi la stara mbele ya wazee na hata jamii kubwa ya kiafrika kwanini kitenge na sio vazi lingine ndio lenye heshima? humsitiri mvaaji moja kwa moja pasipo kumuacha mvaaji nusu uchi ama maungo yake wazi tuvipende vitenge hii ni asili yetu, nakipenda kitenge wewe je?

unahitaji vitenge?

pata vitenge original visivyochuja wala kupauka,