kitenge vazi la heshima

kwa miaka yakaribuni vazi la kitenge limekua ni vazi la heshima limekua n vazi la stara mbele ya wazee na hata jamii kubwa ya kiafrika

kwanini kitenge na sio vazi lingine ndio lenye heshima?

humsitiri mvaaji moja kwa moja pasipo kumuacha mvaaji nusu uchi ama maungo yake wazi

tuvipende vitenge hii ni asili yetu, nakipenda kitenge wewe je?

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog